Ripoti ya Tume ya Maridhiano yawataja Kenyatta, Ruto
23 Mei 2013Matangazo
Kutoka mjini Nairobi Sudi Mnette amezungumza na Profesa Ezebio Wanyama ambaye pamoja kuwa mwanasheria wa kimataifa pia ni mchambuzi katika medani ya kisiasa alejikita katika masuala ya ICC. Kwanza alitaka kujua umuhimu wa ripoti hiyo. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Saumu Yusuf