1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Biashara za wanyonge nchini Tanzania

Deo Kaji Makomba1 Septemba 2021

Je, raslimali na biashara za wanyonge zinathaminiwa vipi katika kuhakikisha zinachangia kwenye mnyororo wa thamani katika kuleta maendeleo ya kiuchumi nchini Tanzania? Sikiliza Makala Yetu Leo kutoka kwa Deo Kaji Makomba.

https://p.dw.com/p/3zls0