1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais wa Somalia Sharif Sheikh Ahmed ziarani nchini Tanzania

10 Agosti 2011

Akiwa ziarani nchini Tanzania ,rais wa Somalia Sharif Sheikh Ahmed ameusifu uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbili na ameahidi kwamba atahakikisha kuwa uhusiano huo unadumishwa.

https://p.dw.com/p/12DwB

Kiongozi huyo leo alikua na mkutano na waandishi habari mjini Dar es salaam,ambapo Mwandishi wetu Anaclet Rwegayura ametutumia ifuatayo:-