Sikiliza Afrika wiki hii: Na miongoni mwa mengi tunayoyadurusu ni pamoja na hali ya mambo Mashariki mwa Kongo,rais Paul Kagame atoa matamshi makali ya vitisho dhidi ya wale aliosema wanayumbisha usalama na maendeleo ya Rwanda. Nchini Tanzania rais mstaafu Benjamin mkapa azindua kitabu kuhusu maisha yake,.