1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya huenda ikafanya tena mabadiliko ya Katiba nchini Kenya

5 Juni 2020

Miongoni mwa mengi yaliyomo katika Afrika Wiki hii ni pamoja na ishara za kufanyika mabadiliko mengine ya katiba zaanza kujitokeza huko Kenya, Mashirika ya haki za binadamu DRC yalilia kufunguliwa tena kesi ya mwanaharakati aliyeuwawa aliyekuwa mkosoaji wa rais wa zamani Joseph Kabila na Maandamano makubwa yazitikisa Sudan na Sudan Kusini.Mengi zaidi sikiliza Afrika wiki hii na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/3dJ4l