Polisi nchini Kenya wanachunguza tukio ambapo miili mitatu ilipatikana imetupwa kwenye msitu katika kaunti ya Nakuru. Haya yanajiri wakati Rais William Ruto akitangaza kuvunjwa kwa kitengo maalum kwenye Idara ya upelelezi katika juhudi za kusafisha makosa yaliyotekelezwa na idara hiyo. Sikiliza ripoti ya Wakio Mbogho.