Huko Kenya Rais Mwai Kibaki wa nchi hiyo amelivunja bunge na kufungua njia ya kufanyika uchaguzi mkuu ingawa bado tarehe ya uchaguzi huo haijatangazwa.
https://p.dw.com/p/C7ga
Matangazo
Kutoka Nairobi mwandishi wetu Mwai Gikonyo ametutumia taarifa ifuatayo.