1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais mpya wa Zanzibar atangaza baraza jipya la mawaziri

Sudi Mnette19 Novemba 2020

Visiwani Zanzibar, Rais mpya wa visiwa hivyo, Hussein Mwinyi leo ametangaza baraza lake jipya la mawaziri 15, pasipo na manaibu waziri. DW imezungumza na Mwandishi wa Habari, Ally Mohammed kufahamu yapi mapya katika baraza hilo?

https://p.dw.com/p/3lXdr