1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais mpya wa Somalia aahidi kushughulikia ugaidi

10 Juni 2022

Rais mpya wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, aapa kukabiliana na ugaidi katika nchi hiyo ilnaokumbwa na mzozo. Ameirai jamii ya kimataifa kusaidia kupambana na njaa kali nchini mwake.

https://p.dw.com/p/4CXH6