Kiongozi wa upinzani Kenya, Raila Odinga kufikisha madai ya kuibiwa kura kwenye mahakama ya juu nchini humo, Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe aomba Kinga ya kidiplomasia baada ya tuhuma za kumshambulia mwanamitindo na Colombia yamaliza rasmi vita vilivyodumu kwa miaka 50. Papo kwa Papo: 16.08.2017