Watu wanne wameuawa nchini Kenya baada ya kufyatuliwa risasi na vikosi vya usalama katika maandamano ya kupinga vitisho vinavyosababishwa na wanyamapori jana Alhamisi. Sikiliza mahojiano kati ya Bruce Amani na mtafiti wa wanyamapori Daktari Mordecai Ogada.