Licha ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutangaza utawala wa kijeshi katika mikoa ya Kivu Kaskazini na Ituri, kundi la waasi la ADF limewaua watu 15 usiku wa kuamkia Jumanne katika kijiji cha Idohu. Je, serikali inapanga kuchukua hatua gani nyengine ili kuzuia umwagaji damu unaofanywa na kundi hilo.