1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Pyongyang. Japan inalamba miguu ya Marekani yasema Korea ya kaskazini.

4 Novemba 2006
https://p.dw.com/p/CCwE

Korea ya kaskazini imesema leo kuwa Japan haipaswi kuwepo katika mazungumzo yajayo ya pande sita yenye lengo la kusitisha mpango wa kinuklia wa Korea ya kaskazini.

Afisa mmoja wa Korea ya kaskazini ameitaja Japan kuwa si lolote zaidi ya kuwa jimbo la Marekani na kuwaita maafisa wa Japan kuwa wamefilisika kisiasa.

Mazungumzo yaliyokwama ya nchi sita, yanayohusisha Korea zote mbili, Marekani , China , Russia