Nchini Kenya, sakata la tuhuma za baadhi ya askari wa taifa hilo, kusaidia kwa kutoa silaha na sare kwa magenge ya uhalifu limechukua sura mpya baada Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai, DCI George Kinoti kujitokeza na kukanusha polisi kuhusika na silaha hizo. Sudi Mnette amezungumza na mtaalamu wa masuala ya Usalama wa Kenya, Mwenda Mbijiwe.