Polisi ya Belgiji yazima njama za kumtorosha kutoka gereza mshukiwa wa kundi la Al Qaeda
21 Desemba 2007Matangazo
BRUSSELS:
Wakuu nchini ubelgiji wanasema wamewakata watu 14 kuhusika na njma ya kumtorosha kutoka gereza mshukiwa mmoja wa kundi la Al-Qaeda.Mshukiwa huyo alikamatwa Septemba mwaka wa 2001 kwa kufanya njama za kutaka kuishambulia Marekani.Ulinnzi mkali umeimarishwa.