Polisi waua waandamanaji KenyaAlfred Kiti24.05.201624 Mei 2016Watu watatu wameuawa baada ya kukabiliana na polisi katika maandamano ya kupinga Tume ya Uchaguzi IEBC. Viongozi wa upinzani wamelaani mauaji hayo na muungano tawala umesema uko tayari kwa mazungumzo.https://p.dw.com/p/1ItSDPicha: Getty Images/AFP/T. KarumbaMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audioPolisi akirusha gesi ya machozi kutawanya waandamanaji NairobiPicha: Reuters/T. Mukoya Vizuizi vya barabarani vyawaka moto Naiobi kwenye maandamano ya kupinga IEBCPicha: Getty Images/AFP/C. de Souza Polisi wa kuzuia ghasia katika mitaa ya NairobiPicha: Reuters/T. Mukoya