Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Kenya yameitaka serikali kuwakuchukuliwa hatua za kisheria maafisa wa usalama waliowapiga na kuwajeruhi abiria 30 katika kivuko cha Feri na kusabbaisha vifo vya watu wawili tangu kuanza kwa marufuku ya kutotoka nje mjini Mombasa, nchini humo. Mwandishi wetu Faiz Musa alituletea ripoti yake.