1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi wa Israel wawashambulia tena Wapalestina

10 Mei 2021

Polisi nchini Israel wamewashambulia tena waandamanaji wa Kipalestina kwenye Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa likiwa tukio la pili ndani ya kipindi cha masaa 48, huku hali ya wasiwasi ikiongezeka baina ya pande hizo mbili.

https://p.dw.com/p/3tCio