Idara ya polisi nchini Kenya, inakosolewa na kushutumiwa vikali kufutia matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji siku ya Sabasaba watu sita wakifariki katika maeneo mbali mbali ya nchi hiyo. Je nani anapaswa kuwajibika na matukio hayo? Sikiliza uchambuzi wa George Musamali, mchambuzi wa usalama nchini humo.