JamiiUlayaPoland na Belarus zavutana kuhusu wahamiajiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiUlayaSylvia Mwehozi10.11.202110 Novemba 2021Mvutano unaongezeka baina ya Poland na Belarus kuhusu wimbi la wahamiaji waliopiga kambi mpakani mwa nchi hizo mbili wakijaribu kuingia Ulaya kutokea Belarus. #kurunzihttps://p.dw.com/p/42pDMMatangazo