PESA ZAIDI KUPAMBANA NA UKIMWI:
13 Novemba 2003Matangazo
CAPE TOWN: Afrika Kusini itaongeza kwa mara nne idadi ya pesa zitakazotumiwa kupambana na ukimwi na virusi vya HIV.Kwa mujibu wa wachambuzi hatua hiyo inaonyesha mbadiliko mkubwa wa kisiasa kupamabana ana ugonjwa wa ukimwi ulioiathiri vibaya sana Afrika Kusini.Katika kipindi cha miaka mitatu ijayo serikali itatumia kiasi ya Dola bilioni 1.75.