Baada ya kuifunza timu ya taifa ya soka Ujerumani kwa miaka 17 kocha Joachim Löw anamaliza hatamu yake. Lakini kuondoka kwake sivyo alivyoingia. Licha ya mafanikio yake pia alikumbana na matokeo yasiyo ya kuridhisha. Tunaangazia jinsi hatamu yake ilivyokuwa kwenye Kurunzi Ujerumani.