Nchini Msumbiji kumekuwa na ongezeko la wakimbizi wa ndani katika miaka miwili iliyopita kutokana na mashambulizi ya waasi hasa katika wanaotokea katika eneo la Cabo Delgado linalosumbuliwa na waasi. Na hivi ndivyo hali ilivyo kwenye sehemu ya makazi ya muda ya watu waliolazimika kuyakimbia makazi yao nchini humo katika mji wa Pemba nchini humo.