SiasaOdinga apokelewa kwa gesi ya kutoa machoziTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaDaniel Gakuba17.11.201717 Novemba 2017Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amerejea nchini Kenya akitokea Marekani. Maelfu ya wafuasi wake wameteremka mitaani kumpokea, lakini wakatawanywa na mabomu ya kutoa machozi yaliyorushwa na polisi kuwazuia kuingia mjini kati.https://p.dw.com/p/2nphxMatangazo