Zaidi ya nusu ya watoto wakimbizi walio na umri wa kwenda shule duniani, wanatengwa kupata elimu huku mzozo wa kibinadamu ukiongezeka. Kukosekana kwa elimu huwalazimisha wasichana kuingia katika ndoa za umri mdogo, kufanyishwa kazi za kinyonyaji na hata biashara haramu ya binadamu. Papo kwa Papo 29.08.2018.