1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Afrika Kusini

Nomfusi: Jinsi huzuni na masaibu yaweza kuchochea ufanisi

21 Novemba 2024

Baada ya kumpoteza mama yake na shangazi yake kutokana na virusi vya ukimwi, mwimbaji wa Afrika Kusini Nomfusi Ngonyama alibadilisha huzuni yake kuwa muziki wa nguvu, ambao unafurahiwa kimataifa.

https://p.dw.com/p/4nFis