You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Noa Bongo! Jenga maisha Yako
Michezo ya kuigiza vilevile makala mahusisi kwa vijana kujadilia mada mbalimbali.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Unaniua Taratibu - EP 7: ''Habari Kubwa''
Unaniua Taratibu - EP 6: ''Nimkimbilie Nani?''
Unaniua Taratibu - EP 5: ''Daudi Dhidi ya Goliati''
Unaniua Taratibu - EP 3: ''Kuwekewa Sumu''
Unaniua Taratibu - EP 2: ''Vidokezo vya Ushahidi''
Unaniua Taratibu - EP 4: ''Si Wote Wanaopinga Uhalifu Wanavaa Sare''
Unyakuzi wa Ardhi ya Chongwe - EP 1: ''Chifu Aliyetoweka''
Bonyeza Kiunganishi - EP 1: ''Nani Mhusika?''
Bonyeza Kiunganishi - EP 7: ''Benki ya Siri''
Bonyeza Kiunganishi - EP 6: ''Kutumia Vidokezo vya Ushahidi''
Bonyeza Kiunganishi - EP 8: ''Mambo Yamevurugika''
Bonyeza Kiunganishi - EP 10: ''Haki Hushinda''
Bonyeza Kiunganishi - EP 5: ''Kutafuta Ukweli''
Bonyeza Kiunganishi - EP 4: ''Hujuma na Usaliti''
Bonyeza Kiunganishi - EP 2: ''Tuna Nini Hapa?''
Bonyeza Kiunganishi - EP 3: ''Kutafuta Ushahidi''
Michezo mipya
Michezo mipya
Unyakuzi wa Ardhi ya Chongwe - EP 3: ''Kutafuta Vidokezo''
Unyakuzi wa Ardhi ya Chongwe - EP 2: ''Mzima au Mfu?''
Unyakuzi wa Ardhi ya Chongwe - EP 6: ''Kukusanya Ushahidi''
Unyakuzi wa Ardhi ya Chongwe - EP 5: ''Kutafuta Ukweli''
Unyakuzi wa Ardhi ya Chongwe - EP 4: ''Usaliti''
Unyakuzi wa Ardhi ya Chongwe - EP 8: ''Lala Mahali Pema Peponi''
Unyakuzi wa Ardhi ya Chongwe - EP 7: ''Wala Rusha dhidi ya Wanaokemea Rushwa''
Dawa za Kutibu, Dawa za Kuua - Ep. 1: ''Kifo Hakina Heshima''
Dawa za Kutibu, Dawa za Kuua - Ep. 4: ''Mambo Yameanza Kudhihirika''
Dawa za Kutibu, Dawa za Kuua - Ep. 5: ''Mambo Yamepamba Moto''
Dawa za Kutibu, Dawa za Kuua - Ep. 7: ''Katika Kilele cha Mlima''
Dawa za Kutibu, Dawa za Kuua - Ep. 3: ''Katikati ya Hatari''
Dawa za Kutibu, Dawa za Kuua - Ep. 6: ''Ukweli Kujulikana''
Dawa za Kutibu, Dawa za Kuua - Ep. 2: ''Daktari Mzuri''
Dawa za Kutibu, Dawa za Kuua - Ep. 8: ''Kunusurika Kwenye Kilele cha Mlima''
Wawindaji Haramu - Ep. 1: ''Kisu Kifuani''
Wawindaji Haramu - Ep. 1: ''Kisu Kifuani''
Wawindaji Haramu - Ep. 1: ''Kisu Kifuani''
Wawindaji Haramu - Ep. 7: ''Mfalme wa Wawindaji Haramu''
Wawindaji Haramu - Ep. 8: ''Hatimaye Ukweli Umedhihirika''
Wawindaji Haramu - Ep. 6: ''Siri Yafichuka''
Wawindaji Haramu - Ep. 5: ''Siku ya Kiama''
Kizazi njia panda - awamu ya tatu
Miaka mitatu imepita. Mercy na Trudy, nyota wetu wa Bongo Academy, wamejiunga na chuo kikuu kusomea uandishi wa habari.
Kizazi njia panda - awamu ya pili
Nyota wa mchezo huu sasa wanakabiliana na athari za matendo yao, ambazo zinawatia mashakani zaidi.
Njia za maambukizi na kinga
Kanuni unazopasa kuzingatia katika maeneo yanayokumbwa na ugonjwa wa Ebola
Kutibu Ugonjwa wa Ebola
Mtu aliyeambukizwa virusi vya Ebola anaweza kupona endapo utagunduliwa na kutibiwa mapema.
Kushughulikia maiti
Maiti za watu waliofariki kutokana na Ebola bado zina uwezo wa kusambaza virusi, hivyo mtu hapaswi kuzishika maiti hizo
Kuwasaidia manusura wa Ebola
Mara nyingi manusura wa ugonjwa wa Ebola huwa wanabaguliwa au kutengwa. Hakuna haja ya kuwatenga manusura wa Ebola.
Kizazi njia panda - awamu ya kwanza
Bongo Academy ni shule ya fahari. Ni shuleni hapo wanapokutana nyota wetu Mercy, Trudy, Dan na Niki.
Haki za Wasichana
Wanawake barani Afrika wamekuwa na nguvu nyingi katika miaka iliyopita na hata kushika nafasi za uongozi. Licha ya hilo, wasichana wengi bado wanapambana na ubaguzi. Safari ya kufikia usawa wa kijinsia bado ni ndefu.
Mti unapoanguka… - Kukatwa kwa misitu barani Afrika
Afrika ina kiwango kikubwa cha ukataji misitu kuliko mabara mengine yote duniani. Hili lina athari kubwa kwa maisha ya Waafrika kama hawa katika mchezo wetu wanaoishi katika kambi ya wakimbizi baada ya vita vya kikatili.
Mizozo na Utatuzi - Palipo na Wazee
Hata katika karne ya 21, migogoro inaonekana kuwa jambo lisiloepukika duniani kote. Migogoro inaweza kusuluhishwa kwa njia ya amani kwa sababu ya utamaduni wa Kiafrika wenye mbinu nyingi za kutafuta suluhu.
Mimi Bado ni Binadamu - Hadithi ya Wagonjwa wa Akili Barani Afrika
Ulemavu ni mwiko na laana miongoni mwa watu wengi barani Afrika. Hadithi hii inaelezea jinsi familia na marafiki wa watu wenye ulemavu wanavyojaribu kuelewa na kukabiliana na hali zao. Kwani ni binadamu tu kama wengine.
Nyuma ya Maikrofoni - Vyombo vya Habari
Je, umewahi kujiuliza vipindi uvipendavyo vya redio au televisheni vinatengenezwa vipi? Sasa Noa Bongo inakupa fursa ya kufahamu vyema yote yanayotokea kabla ya kutazama televisheni au kusikiliza vipindi katika redio.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 3
Ukurasa unaofuatia