Wachambuzi wazungumzia namna mzozo nchini Ethiopia unavyoweza kutatuliwa na hasa baada ya mjumbe maalumu wa Marekani katika pembe ya Afrika Jeffrey Feltman kufanya mkutano na mwenzake wa AU Olusegun Obasanjo mjini Addis Ababa. Bruce Amani ilizungumza na Barrack Muluka mchambuzi wa masuala ya uongozi na kisiasa kutoka Nairobi.