Mgogoro wa kisiasa unaendelea kufukuta nchini Somalia kati ya Rais Mohamed Abdullahi Mohamed na Waziri mkuu Mohamed Roble. Tumezungumza na mchambuzi wa masuala ya siasa za kikanda Ali Mutasa kujua hatima ya mvutano huo kwa taifa hilo la Pembe ya Afrika