1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nini hasa chanzo cha Maradhi ya Osteoarthritis?

Tatu Yahya17 Machi 2023

Osteoarthritis ni ugonjwa wa kuchakaa kwa mifupa laini katika maungio kama vile nyonga, uti wa mgongo, magoti na hata katika maungio ya vidole. Nimaradhi yanayochukua takriban miaka kumi kugunduliwa kutoka kwa mgonjwa huku dalili zake zikiwa ni maumivu makaali yanayoambatana na uvimbe mahala husika. Zaidi sikiliza Makala hii ya Afya yako, mtayarishaji ni Tatu Yahya.

https://p.dw.com/p/4OoEC