Usomaji wa vitabu Barani Afrika ni kama utamadunia wa kigeni. Wengi hawaoni sababu ya kununua vitabu na wala hawaoni ulazima wa kusoma vitabu. Huko, nchini Nigeria kumeanzishwa App maalumu ya kuwatia shime watu kusoma vitabu. Inasaidiaje? sikiliza makala haya ya Utamaduni na sanaa.