1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni nini husababisha mabaka mazito meusi kwapani na shingoni?

Zainab Aziz Salim-Mtullya/MMT8 Juni 2020

Wiki hii kwenye Afya Yako, tunayaangalia maradhi yanayojulikana kwa jina la kitaalamu kama Acanthosis Nigricans. Hii ni hali inayosababisha mabaka mazito meusi makwapani, nyuma ya shingo na kwenye mapachipachi ya mapaja. Sehemu hizo hupata weusi uliokoza na kuoenekana kama uchafu. Zainab Aziz na mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/3dRpw