JamiiAfrikaNi mtindo gani wa asili wa nywele unakuvutia?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAfrikaSylvia Mwehozi24.01.202424 Januari 2024Mitindo ya nywele ya kiafrika imedunishwa kwa muda mrefu ikionekana kama isiyo ya kupendeza na hivyo kuwalazimu wanawake kupendelea kuvaa mawigi. Msanii huyu wa Nigeria Robert Oniha ameamua kuitambulisha upya mitindo hiyo kupitia Sanaa.https://p.dw.com/p/4bbDYMatangazo