JamiiNi miaka mitano baada ya kansela Merkel kuruhusu wakimbizi Ujerumani. Wanasemaje?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii27.08.202027 Agosti 2020Miaka mitano iliyopita, Ujerumani ilitoa malazi kwa wakimbizi takriban milioni moja. Wengi miongoni mwao bado wanakumbuka nyumbani, lakini wanasema, hawatamani kurudi huko. Wasikilize baadhi yao. #Kurunzihttps://p.dw.com/p/3hbBtMatangazo