Katika Makala hii ya afya tunayaangazia masuali chungu nzima yanayoulizwa juu ya chanjo ya corona. Mfano ni je chanjo hizo ni za ufanisi wa kiasi gani? Ni mambo gani ambayo mtu anapaswa kuyazingatia juu ya chanjo hizo? Na ikiwa chanjo hizo hazitoshi, ni nani anayestahili kupatiwa kwanza?. ili kuyajibu maswali hayo Zainab Aziz amezungumza na wataalamu.