Siku 12 kabla ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza idadi mpya ya wapigakura baada ya uhakiki wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, ambapo majina ya zaidi ya milioni moja yameondolewa kutoka daftari hilo na pia vituo vya kupigakura vimepunguzwa kutoka 72,000 hadi 65,105. Atilio Tagalile anazungumza na Caro Robi juu ya hatua hii ya aina yake.