1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ndoto za vijana wahamiaji wakiwa kambini Mombasa

Lubega Emmanuel/MMT3 Agosti 2020

Kipindi cha Vijana Tugutuke safari hii kinapiga kambi katika kambi ya wakimbizi ya Changwali iliyoko magharibi mwa Uganda. Je maisha ya vijana ambao ni wahamiaji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) yakoje katika kambi hiyo? Matumaini yao na ndoto zao ni zipi? Nahodha wa kipindi safari hii ni Lubega Emmanuel. Hebu sikiliza.

https://p.dw.com/p/3gJkw