Mapigano yameendelea Sudan kati ya jeshi rasmi na wanamgambo wa RSF huku jenerali AbdulFatah Al Burhani akimtimua makamu wake katika uongozi wa baraza kuu la Utawala nchini humo, Viongozi wa Afrika wajiandaa klupeleka ujumbe wa kutafuta amani wa wakuu wa nchi huko Moscow na Kiev. Sikiliza makala ya Afrika Wiki hii na Saumu Mwasimba