Nchi za Afrika zaonywa kuhusu kirusi cha ZikaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video03.02.20163 Februari 2016Mtaalamu wa utabibu wa Kenya, Dokta Ruchika Kohli, amesema serikali za Afrika na wizara za afya zinapaswa kuwa katika hali ya tahadhari dhidi ya kuenea kwa kirusi cha Zika, ambacho kimewaathiri mamilioni ya watu huko Amerika.https://p.dw.com/p/1HpJHMatangazo