Watu wanne wameuawa na wengine 40 kujeruhiwa katika shambulio linalochukuliwa kuwa la kigaidi jijini London. Frank-Walter Steinmeier ameapishwa rasmi kuwa rais mpya wa Ujerumani na Rais wa Tanzania John Magufuli afanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri. Papo kwa Papo 23.03.2017