Katibu wa chama cha waandishi wa habari nchini Uganda Stephane Ouma, anazungumzia ripoti ya Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch ambalo limeihimiza serikali ya Uganda kuchunguza haraka ripoti kuwa maafisa wa kijeshi walimtesa mwandishi wa tashtiti aliyekimbilia uhamishoni na ambaye ni mkosoaji mkubwa wa serikali Kakweza Rukirabashaija.