JamiiNamna ya kuwaepusha wasichana na mbimba za utotoniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii24.09.202124 Septemba 2021Katika kukabiliana na mimba za utotoni kwa kundi la wasichana wapo miongoni mwao ambao wameamua kujiingiza katika matumizi ya njia za uzazi wa mpango. Lakini jamii zao zinawatazamaje? niwakati wa kutazama hili kama jambo la kawaida. https://p.dw.com/p/40nu3Matangazo