Naibu waziri wa Ulinzi nchini Somalia, Youssuf Mohammed Siad aachiliwa huru
7 Oktoba 2009Matangazo
Waziri huyo msaidizi alitiwa mbaroni na polisi nchini Uganda kufuatia ripoti za kutatanisha kuwa gaidi kutoka Somalia alikuwa safarini kuingia nchini humo. Hivi punde nimezungumza kwa njia ya simu na msemaji wa jeshi la kulinda amani la Umoja wa Afrika nchini Somalia leteni kanali Felix Kulaygye na kwanza anaeleza kilichopelekea kukamatwa kwa Bw Youssuf Mohamed Siad.