1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Na hatimaye Soka. Liverpool yatoka kidedea dhidi ya Juventus Turin.

14 Aprili 2005
https://p.dw.com/p/CFNR

Juventus Turin ya Itali ililazimishwa sare ya bila kufungana jana usiku na FC Liverpool ya Uingereza, hali inayomaanisha kuwa Liverpool inasonga mbele katika nusu fainali. Liverpool ilishinda mchezo wa kwanza kwa mabao 2-1.

Katika mchezo mwingine wa robo fainali ya champions league katika bara la Ulaya jana, PSV Eindhoven na Lyon ya Ufaransa zilibidi kumaliza mpambano wao kwa kupigiana mikwaju ya penalti. Hatimaye PSV ilitoka mshindi. PSV itapambana na AC Milan ama Inter katika nusu fainali, na Liverpool itakutana na Chalsea pia ya Uingereza katika nusu