1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaSudan

Mzozo wa wakimbizi wa Sudan

1 Juni 2023

Wakimbizi 60,000 wa Sudan wamekimbia mapigano nchini mwao na kuelekea Chad ila wanapitia kipindi kigumu kwa kuwa misaada inayotolewa haitoshi.

https://p.dw.com/p/4S3qr