1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzozo wa kidiplomasia kati Uturuki na Uhoalanzi wazidi kutokota

14 Machi 2017

Mahusiano ya Uturuki na Uholanzi yanaendelea kutokota, Waziri Mkuu wa Uingereza apewa ridhaa ya kuiondoa nchi yake katika Umoja wa Ulaya na maharamia wa Kisomali waiteka meli yenye bendera ya Sri Lanka.

https://p.dw.com/p/2Z9uS