Mgogoro wa kibinadamu unanukia katika eneo la Kapedo nchini Kenya, ambako zaidi ya familia 2,500 zimeathirika kutokana na oparesheni ya maafisa wa usalama kupambana na wahalifu kwenye eneo hilo. Wakaazi wanaeleza kwamba wameshindwa kuzifikia huduma za afya, maji na chakula, huku wakiishi kwenye hofu ya kujeruhiwa au kuwawa. Wakio Mbogho alileat ripoti hii.