1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzozo kuhusu mchanga wa migodini Tanzania

2 Agosti 2016

Mbunge wa CHADEMA, Tundu Lissu, amemkosoa Rais John Magufuli ambaye amekataza mchanga wa migodi ya dhahabu kupelekwa nje ya nchi. Lissu amesema kufanya hivyo ni kuvunja mikataba iliyosainiwa zamani.

https://p.dw.com/p/1Ja77
Minen-Unglück in Südafrika
Picha: picture-alliance/dpa

[No title]

Mchanga wenye madini sasa utapaswa kuchambuliwa ndani ya nchi hiyo kwa manufaa ya taifa. Mchanga huo umekuwa ukisafirishwa kwenda zaidi nchini Japan kwa ajili ya uchambuzi zaidi wa madini mengineyo. Isaac Gamba amezungumza na Tundu Lissu na mmoja wa wachambuzi wa masuala ya uchumi na masuala yanayohusiana na mikataba ya madini kutoka nchini Tanzania, Buberwa Kaiza, kupata maoni yake juu ya agizo hilo.