Mzozo unatokota baina ya Ufaransa na Italia, nchi mbili waanzilishi wa Umoja wa Ulaya, na ambazo ni majirani wenye mambo chungu nzima yanayowaunganisha, iwe kisiasa, kiuchumi na pia kijamii, ni mada kuu inayoangaziwa leo kwenye makala Mwangaza wa Ulaya yakiletwa kwako na Daniel Gakuba.