Mwandishi wa DW visiwani Zanzibar Salma Said apatikana
Khelef Mohammed Mohammed/M M T21 Machi 2016
Mwandishi wa Deutsche Welle visiwani Zanzibar, Salma Said, aliyetoweka kwenye mazingira ya kutatanisha mchana wa Ijumaa ya tarehe 18 Machi, hatimaye amepatikana. Na hapa anaielezea DW hali yake kwa sasa